Taja hata moja tu!

> kangara.
> komon.
> choya.
> chamu.
> wine.
Hapa Kongwa,Dodoma bana.
Mi nagongaga zaidi choya,kitu chekundu babake!
 
chai ya ma ninja, machozi ya simba, pingu Hahaaaaaa hii mpaka ufunge suruali miguuni na rubber band manaake ukishakunywa unaharisha kinoma!
 
Kitu MTUKURU, Singida- utemini, majengo, Mitunduruni, Kibaoni, Minga, Kindai, Mughanga, Mwenge na minada yoote ya jumamosi.
 
pingu
kamchape
kaitaba
dadii
komoni
busa
nsoba
na nyingine nyingi nimezitest zote hapo mkuu
 
kitu mnanasi........ hii lazima ufunge suruali kwa chini ukaifungulie kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…