</TD></TR><TR><TD class=storytext bgColor=#ffd9d9>Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akijaribu kuwaongoza watanzania kuishangilia taifa stars hata hiyo stars ilichapwa 1-0 na Ivory cost</TD></TR></TBODY></TABLE>
</TD></TR><TR><TD class=storytext bgColor=#ffd9d9>Mshambuliajiwa timu ya taifa ya Ivory Cost ambaye pia ni mshambuliaji wa Chelse akijaribu kumpita beki wa taifa stars, Ivory Cost ilishinda 1-0 goli ambalo lilifungwa na na huyo mshambuliaji.</TD></TR></TBODY></TABLE>