Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,704
- 31,126
Huujui mpira bora ungejikita kwenye mada nyinginezo. Kama ni fluke kwanini Uganda hawakutufunga kwao?.Kwanza naipongeza sana Taifa Stars kwa ushindi wa uhakika na kuingia ngazi kubwa zaidi katika mashindano ya AFCON.
Pamoja na pongezi hizo za juhudi binafsi ya wachezaji na kocha wao, mi naona ni kama kipofu kaona mwezi!
Ushindi unatakiwa kuwa endelevu na baada ya mipango thabiti na mazoezi ya miaka mingi.
Tanzania tufikirie kuwa na Sports Academies za kuchukua vijana toka wakiwa miaka 12 au 13.
Kijana akifundishwa miaka 4 ana kuwa mchezaji mzuri kama kina Mbape, miaka 16 au 17
Kijana akitumika vyema kwenye football pitch, ni kwa miaka takriban 5.
Kwa mpangilio huu sioni namna ya kushindwa owe AFCON, World Cup au mechi zozote
Ndio maana nasema huu ushindi wa jana ni fluke , bahati ya mtende au kipofu kuona mwezi
Kwanini Uganda hawakutufunga kwao kama kweli wametubeba?. Usijichukie kupita kiasi mkuu.Uganda wametubeba tu sababu wao walishapita, ingekuwa game ya wao kupigania nafasi wangetuchapa nyingi sana maana mpira tunacheza timu ovyo kabisa. HukoAfcon naona aibu tu labda rutafute kocha mpya team ianze kujengwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naungana nawe!Huujui mpira bora ungejikita kwenye mada nyinginezo. Kama ni fluke kwanini Uganda hawakutufunga kwao?.
Inawezekana Uganda hawakuwa na cha kupoteza, pia ukumbuke kuwa mpira ni sayansi. Hawa kina Samatta, Msuva na Ulimwengu ni kizazi kilichopitia angalau katika mafunzo ya soka ya utotoni.
Mtanzania ni binadamu wa kipekee, haoni aibu kuichukia au kuisimanga nchi ambayo Baba na Mama yake wamezaliwa na kumkuza yeye.
Kushinda Stars bado ni kibahati bahati.Huujui mpira bora ungejikita kwenye mada nyinginezo. Kama ni fluke kwanini Uganda hawakutufunga kwao?.
Inawezekana Uganda hawakuwa na cha kupoteza, pia ukumbuke kuwa mpira ni sayansi. Hawa kina Samatta, Msuva na Ulimwengu ni kizazi kilichopitia angalau katika mafunzo ya soka ya utotoni.
Mtanzania ni binadamu wa kipekee, haoni aibu kuichukia au kuisimanga nchi ambayo Baba na Mama yake wamezaliwa na kumkuza yeye.
Mkuu unachekesha kwelikweli. Yaani ulikaa nyumbani kwako ukawa na matumaini kabisa kwamba Stars itapoteza mchezo wa jana!. Wasiwasi wangu ulikuwa kule Cape Verde iwapo wangekubali kufungwa na Lesotho.Kushinda Stars bado ni kibahati bahati.
Hujajibu mada kwa kuanza mipango kuwafunza vijana toka miaka 12 ,kwa miaka 4.
Hili linafanyika na watu makini na wanoona mbele.
Si unazi wa siku tatu kabla ya mechi, tukumbuke, unazi haushindi ila mazoezi na mafunzo ya muda mrefu.
Kwao walitufunga au walikuwa wamequalify???.wapeni moyo wachezaji..you never know AFCON wakaonekana wachukuliwe Na vilabu vikubwaUganda wametubeba tu sababu wao walishapita, ingekuwa game ya wao kupigania nafasi wangetuchapa nyingi sana maana mpira tunacheza timu ovyo kabisa. HukoAfcon naona aibu tu labda rutafute kocha mpya team ianze kujengwa.
Sent using Jamii Forums mobile app