Tatizo ni Mfumo wa Michezo hapa Tz bado mfumo Wetu wa soka upo Analogy sana Mh Rais anapenda Michezo lakini waliopewa jukumu kuisimamia Michezo hawapo Digtal si wabunifu Michezo Inabidi kwenda kizani Hakuna jitihada za makusudi kuokoa jahazi Tunakuomba mh Rais Umlete Mwakembe kwenye Wizara ya Michezo angalau atazindua wote kisha kuyabaini yaliyojificha