Ni kawaida ya Magufuli kujifagilia na kufagilia chama chake kuwa ndicho kinacholeta maendeleo ya nchi,na sio serikali,hata Igunga wakati wa uchaguzi mdogo,aliwaabia wana igunga kua wakimchagua mgombea wa cdm,hawatojengewa daraja la mbutu,ila wakimchagua wa ccm,watajenga daraja hilo,je ni halali kusema hivyo?