Taifa laweza kuvunjika tusipokemea

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
355
Reaction score
178
Tunahitaji kuwa na taifa imara na lenye umoja kuliko tunavyo hitaji kumpata rais wa nchi hii. Kauli ya kuwagawa watanzania inapaswa kukemewa na kila kiongozi mpenda nchi hii. Pia ni wajibu was kila mtanzania kuwapuuza wanaotaka kutugawa kwa misingi ya kidini,kikanda na kikabila.
Leo, nimesinoneshwa na kauli ya mmoja wa wanenaji katika viwanja vya jangwani pale alipoongelea "ukaskazini..........".

Tuungane kulaani na kukemea kauliza namna hii ndani ya nchi yetu. Pia kama MTU hajui cha kuongea, asipewe nafasi
 
kweli kaka umesema vizuri...Napinga ukabila,udini na ukanda
 

Kwani kasema uongo?
 
Hata mimi hizi siasa za ukanda zimeniumiza sana..
 
saa nyingine tupuuzie haya mambo mbona kwasasa watu hawaoni athar yake ila baadae haya mambo yatakuwa tishio kwa ustawi wa taifa hili.
 
Kwani kasema uongo?

Kauli kama hizi zikiendelea kufumbiwa macho zitaliangamiza taifa. Ukiangalia kwa making, chama tawala na ambacho kina jukumu la kulinda utulivu na aman ya nchi ndicho kinachochea siasa za kikanda na kikabila. Nitasikitika sana kama Mzee mwinyi, Mkapa na Kikwete watafumbia macho kauli kama hizi.
 
Pamoja na Tofauti za Mitazamo tupinge Ubaguzi wowote ule
 
Kwani kasema uongo?

Ur very right , kwani kasema uongo? unajua watu wanapenda tufumbie macho ukweli, kitu ambacho sio sawa, watu wa kaskazin wahatutakii mema na hii nchi
 

Hawa jamaa ni wakuwapuuza, wanahubir siasa za ukanda wao, wakiambiwa ukweli wanatoa povu
 

c c m ni kabila gani?. ulitaka waende chama gani?. mimi sio mchanga ila hili linaniumiza wachaga wana nini mpaka muwachukie?.
 
c c m ni kabila gani?. ulitaka waende chama gani?. mimi sio mchanga ila hili linaniumiza wachaga wana nini mpaka muwachukie?.

Nao wa Kilimanjaro na Arusha wana nini na ccm mpaka waichukie namna hii? Jibu wewe kwanza kwa mtoa hoja hiyo hapo juu.
 

Serikali na CCM vimeungana. Kuna vita nainusa mbaya sana Tanzania kati ya wananchi na serikali dhalimu..
 
c c m ni kabila gani?. ulitaka waende chama gani?. mimi sio mchanga ila hili linaniumiza wachaga wana nini mpaka muwachukie?.

Waulize nao kwa nini wanasema watahakikisha wanaifuta ccm Arusha na Kilimanjaro, kwani nao wana mzozo gani na ccm kama sio kuunga mkono chadema yao?
 

hivi mwaka huu wakatoliki hawakutoa waraka kuelekea uchaguzi na kufanya programmu ya mafunzo kwa wapiga kura?
 

sasa chama gani uongozi wote wa kanda moja , supporters mpaka wagombea-Wapumbafu ninyi na Malofa wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…