Likisemwa jambo sana ni lazima kulifanyia kazi bila kuupuza,,nadhani ingekuwa sahihi dola kumweka rumande huyu Mbugu Azan,,hii itampa usalama kwa jamii inayomzunguka pia kurahisisha kupata ukweli wa kauli ya muuza madawa haya aliyekamatwa huko China.
Kitendo cha mtuhumiwa wa madawa ya kulevya kuendelea kuwa huru, Kama vile taifa hili halina vyombo vya ulinzi na usalama, najiuliza maswali mengi bila majibu. Pamoja na udhaifu wa raisi Kikwete kwa hili huyu bwana Azan ili bidi Mara moja awe rumande na uchunguzi Mara moja uanze. Kama hili hawezi basi anipe mamlaka Mimi Mara moja nitathibitisha huyu Mbunge Mali zote anazomiliki ni zao la biashara hii haramu. Kukamata mtandao wake ni rahisi Kabisa kuliko ilivyokuwa kumtesa Dr Ulimboka. Ndani ya serikali hii kuna mtandao wenye nguvu kuliko dola wakiendesha biashara hii bila woga, hata huyu Mbunge naye ni kibaraka Mkuu wao yuko na anajulikana. Hakamatiki maana serikali itayumba. IGP Mwema na Othman Rashidi hebu fanyieni Zuri nchi yenu. hakuna sababu za kisiasa huyu bwana Idd Azzan ni drug dealer wa Muda mrefu.
Tembelea CHADEMA watoa tamko kuhusu madawa ya kulevya....mbona sisikii wapinzani wakiliongelea? kila mtu kawa bubu hata JK anapima upepo pia kama binadamu wengine
TAMKO LA WAZIRI KIVULI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. VINCENT JOSEPHAT NYERERE (MB) KUHUSU UDHAIFU WA SERIKALI KATIKA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MADAWA YA KULEVYA NCHINI........................................................................................................................................
........................................................................................................................................
........................................................................................................................................
........................................................................................................................................
MUHIMU: IKIWA SERIKALI ITAENDELEA KUPUUZIA JAMBO HILI AMBALO LINALIANGAMIZA TAIFA, BASI KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI ITAENDESHA OPERESHENI NCHI NZIMA ILI WANANCHI WAPIGE KURA KWA WAHUSIKA WAKUU WA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA, NA BAADA YA ZOEZI HILO, TUTAANIKA HADHARANI (KWA KUWATAJA MAJINA) WAHUSIKA WA BIASHARA HARAMU YA DAWA ZA KULEVYA.
Vincent Josephat Nyerere (Mb)
MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI
NA WAZIRI KIVULI WA MABO YA NDANI YA NCHI
Imetolewa leo, tarehe 16 Julai, 2013
Lini umesikia wanasiasa (Upinzani na Utawala) wakishikia bango suala la Afya au Elimu majukwaani ukiachilia ushabeki wa msimu pale yanakuwa yameishatokea majanga? Siasa zetu ni za kuwaza uchaguzi na "nitoke vipi" siyo za kujadili issues, kutafuta suluhisho na kuleta maendeleo!Maana yangu ni kwamba silisikii likiimbwa majukwaani kama ufisadi au nawao wamo
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]Mtuhumiwa angekua Mh Msigwa au Lema
Mkuu JK ni kinara ndiyo maana Hana meno Kabisa na madawa haya
.......na nchi itakombolewa na hawa wanaoripotiwa kwenye taarifa za hapo chini?Bavicha ni janga la nchi