Mtu kama wewe lazima uibiwe, simu ina "tatizo" la vibration unapeleka kwa fundi na unadiliki kusema alilitatia ndani ya muda mfupi, hapo unategemea nini??Simu yangu ilipatwa tatizo la kuto vibrate nikapeleka kwa fundi mazingira niliyo peleka skua na uwenyeji nilikua safarini fundi alitengeneza vizuri tatizo likaisha tena kwa mda mfupi tu, zimepita siku 3 tangu aitengeneze sasa jana nikajalibu kupiga camera ikaleta ukungu hadi nikashtuka nikajalibu kuiweka sawa nilivyo zoea ikawa vilevile nikapeleka kwa fundi akaifungua kakuta camera sio ya cm aina hii # dah jamani mafundi nalia na nyie kwanini msiwe waaminifu? tatizo la vibtate lilikua dogo sana fundi ameniachia tatizo kubwa sana.
Duh, ila kwani vichwa vibovu huyenhenezwa na vinyozi?hamna fundi mwaminifu labda kinyozi pekee yake, na yeye mwenyewe ingekuwa tunamuachia kichwa alafu tunarudi baadae mambo yangekuwa yaleyale tu
mmh hicho kiyunani sijakielewa vizuriDuh, ila kwani vichwa vibovu huyenhenezwa na vinyozi?
Mkuu simu yako ni ya aina gani? Na huyo fundi aliyekuambia kamera sio ya ile simu unamuamini kiasi gani? Kwa sababu ninavyojua (japo sina uhakika kwa asilimia 100) ni kuwa huwezi kuchukua kamera ya eg iphone ukaweka kwenye simu aina nyingine eg lumia. Haziingiliani! Labda kama kuna baadhi ya simu zinaweza kuingiliana ... lakini nina shaka kubwa. Sana sana labda uchukua kamera ya simu ubadishe uweke kwenye kamera ya simu aina ile ile!Simu yangu ilipatwa tatizo la kuto vibrate nikapeleka kwa fundi mazingira niliyo peleka skua na uwenyeji nilikua safarini fundi alitengeneza vizuri tatizo likaisha tena kwa mda mfupi tu, zimepita siku 3 tangu aitengeneze sasa jana nikajalibu kupiga camera ikaleta ukungu hadi nikashtuka nikajalibu kuiweka sawa nilivyo zoea ikawa vilevile nikapeleka kwa fundi akaifungua kakuta camera sio ya cm aina hii # dah jamani mafundi nalia na nyie kwanini msiwe waaminifu? tatizo la vibtate lilikua dogo sana fundi ameniachia tatizo kubwa sana.
Fundi simu hawezi kuiba kitu kwenye simu ya mtu kwa vile 97% ya vitu kwenye simu HAVIINGILIANI na simu nyingine sema ikikaa muda mrefu ataiuza na huyo fundi wa 2 ndio kakuibia hela,kwa maana alichokifanya hakiendani na pesa uliyompa. Na hiyo 3% ni mara chache sana kukuta ni camera japo huwa inatokea lakini si kwa kiwango hiki unacho jaribu kutahadharisha kama vile ni janga la kitaifa. Mfano Tecno p3 itaingiliana kila kitu na Tecno p3.Simu yangu ilipatwa tatizo la kuto vibrate nikapeleka kwa fundi mazingira niliyo peleka skua na uwenyeji nilikua safarini fundi alitengeneza vizuri tatizo likaisha tena kwa mda mfupi tu, zimepita siku 3 tangu aitengeneze sasa jana nikajalibu kupiga camera ikaleta ukungu hadi nikashtuka nikajalibu kuiweka sawa nilivyo zoea ikawa vilevile nikapeleka kwa fundi akaifungua kakuta camera sio ya cm aina hii # dah jamani mafundi nalia na nyie kwanini msiwe waaminifu? tatizo la vibtate lilikua dogo sana fundi ameniachia tatizo kubwa sana.
Ndo hivyo tungekuta washatubadilishia chogo na uso,au unawekewa cha mwingine mwenye asili ya upara,chezea mafundi ww.hamna fundi mwaminifu labda kinyozi pekee yake, na yeye mwenyewe ingekuwa tunamuachia kichwa alafu tunarudi baadae mambo yangekuwa yaleyale tu
hahahahahahahahahaNdo hivyo tungekuta washatubadilishia chogo na uso,au unawekewa cha mwingine mwenye asili ya upara,chezea mafundi ww.
mkuu we ni fundi? huyu jamaa wakwanza kaziyake ilikua ni kuweka vibrate nyingine na kutoa iliokuwemo alivyo maliza nikamlipa alidai 15, 000/= tatizo la ukungu lilianzia hapo ina maana alinibadilishia camera yeye wala si mwingine.Fundi simu hawezi kuiba kitu kwenye simu ya mtu kwa vile 97% ya vitu kwenye simu HAVIINGILIANI na simu nyingine sema ikikaa muda mrefu ataiuza na huyo fundi wa 2 ndio kakuibia hela,kwa maana alichokifanya hakiendani na pesa uliyompa. Na hiyo 3% ni mara chache sana kukuta ni camera japo huwa inatokea lakini si kwa kiwango hiki unacho jaribu kutahadharisha kama vile ni janga la kitaifa. Mfano Tecno p3 itaingiliana kila kitu na Tecno p3.