Upatu mwingine huu, a.k.a DECI
kwelii huu upatu mwingine ubaya ni tunapolazimishana mtu ajiunge atakavyo, km hawa sio wahuni why watumie the same number ya kujiunga sms 100 katika new promotion? huo si ustaarabu hata kidogo anyi TIGO, wateja wakiwakimbia mtalaumu hali mabaya ya uchumi au? well kam jamaa hapo ju alivosema mi pia nina line ya airtel haina mgogoro, kwanz nimewacal sana customer care wa TIGO hovyoo hata hawapokei na wamekuacha 15mins hewani! washamba kweli!mumeniudhi, si kuwa ni hela nyingi but hicho kitendo ni sawa na kubaka!
Usihangaike kuwapigia simu Customer Care, hiyo ni sera ya kampuni nzima na wale hawana uelewa wa hayo mambo. Wataishia kukupa majibu ya kubangaiza-bangaiza tu. Cha msingi kama hautaki usumbufu na longo longo na Tigo ni bora ukajitoa. Nadhani unatuma SIMAMA kwenda 15509
waweza kuibuka na 150M ukasahau shida zako!