Tahadhari kwa watumiaji wa FB

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Muda sio mrefu kumekuwa na link moja facebook yenye picha chafu za ngono ambayo unaweza kuta imewekwa na rafiki yako na ukajiuliza kwa nn aweke..
hii ni spam ambayo hacker wame spread kwa watumiaji wa fb na ukijaribu ku click hiyo link itazidi kukupeleka mbele na itafika mahali itakwambia copy the URL na paste here to view this video...ndio itakula kwako na utakuta page yako imeja hizo picha kibao na kama una page uli create labda kwa ajili ya biashara yako utakuta nayo inahizo picha..so take care!!
 
Kwanini utake kuangalia video kama hizo lakini. Kutokuwa na tabia hizo, nayo ni kinga
 

ilete hiyo link tu-wahack hao madogo, acha kutisha watu wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…