Naomba kutoa tahadhari kwa anae tarajia kuroot simu yake kwa kutumia Framaroot.
1--> Hakikisha simu yako ni original mfano kama ni tecno basi iwe tecno original sio copy,na nyinginezo zisiwe copy.
2-- Hakikisha simu yako ipo ktk orodha ya simu zinazo weza kuwa rooted na hiyo framaroot kwa kutembelea site yao www.framaroot.net.
3- kama umejaribu mara moja ikagoma,, ushauri wangu usijaribu tena.
Mimi nimmoja wa wahanga kutokana na uzi mmoja ulitupiwa jinsi ya kuroot simu kwa framaroot
Nilifanya hivyo kwa huawei G610, kilichotokea baada ya kumaliza hatua zote simu imekuwa ni kuzima na kuwaka tu.
Hapa najipanga kwa gharama za ku flash if possible.
Kwa hali hiyo HUAWEI G610-U20 na HUAWEI G610-U00 hizi ndizo original pamoja na vigezo tajwa hapo juu? niliiona yenye U20 sijaangalia vigezo hivyo vingine nitakufeed back baadae niichunguze zaidi
Asante sanaMbona maelekezo yameshatolewa sana humu JF au google hilo neno root utapata maelekezo ya kina.
ntajie huo uzi niusearch mkuu au kma itaweza niwekee link yake maana kuna jamaa cmu yake haifunction kabisa baada ya kuirootNgoja niupitie huo uzi. maana ali tupia nakumbuka ni Shiny C.
Ngoja niupitie huo uzi. maana ali tupia nakumbuka ni Shiny C.
thanx nimeupita huo uzi daaah... Inahitaji utaalam/mtoa mada ili kufanikisha maana kuna maswali yanaibuka kichwani bila majibu ktk hizo hatua.