Tulikuwa kwenye tukio last week wadau wengi wanaogopa hata kwenda kucheza na maharusi kukwepa camera za hawa MCs zetu! Wanashindana kurusha matukio ili kupata comments na kuongeza umaarufu!Hii tabia hata mimi inanikera sana. Mtu unakuwa umekunywa zako pombe za kutosha unaenjoi mziki unakata zako mauno halafu kesho yake unajikuta umewekwa insta ya akina Dr Cheni, Luvanda etc. Huu sio uungwana
Watu wamegoma kwenda mbele ya cameraTulikuwa kwenye tukio last week wadau wengi wanaogopa hata kwenda kucheza na maharusi kukwepa camera za hawa MCs zetu! Wanashindana kurusha matukio ili kupata comments na kuongeza umaarufu!
Umekibonua kiuno unakata Kiliwanzenza wahuni wametega camera tuHii tabia hata mimi inanikera sana. Mtu unakuwa umekunywa zako pombe za kutosha unaenjoi mziki unakata zako mauno halafu kesho yake unajikuta umewekwa insta ya akina Dr Cheni, Luvanda etc. Huu sio uungwana
Wanasubiri kutelezeshea na mgando tu hapo.Umekibonua kiuno unakata Kiliwanzenza wahuni wametega camera tu
[emoji23]
Duuuuh Mgando upi tena mkuu?Wanasubiri kutelezeshea na mgando tu hapo.
Wengine wanajipeleka wenyewe tuCheni na kina garabii acheni upumbafu was kuwaonesha wake zetu bila tarifa ila pia Nina uhakika Kuna baadh wanaweka wanakwenda kbsa kwa garabii au dk cheni awarushe ili wakiki hz taarifa ninazo upumbafu huuo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio kucheza tu. Watu wanaogopa kuongea, kutoa zawadi, hata kula chakula. Yaani unajikuta video yako inatrend uko unafakamia paja la kuku,au unatrend unabambia msambwanda. Yaani sio vizuri.Tulikuwa kwenye tukio last week wadau wengi wanaogopa hata kwenda kucheza na maharusi kukwepa camera za hawa MCs zetu! Wanashindana kurusha matukio ili kupata comments na kuongeza umaarufu!
Umekamatia eeenheunatrend unabambia msambwanda
Unajua katika kubambia sio marazote ni mwanaume unataka. Kuna wadada unashangaa mko kwenye foleni ya kupeleka zawadi au kucheza mziki GHAFLA Msambwanda huu hapa, ukitaka kupiga chenga kwenda kushoto, zigo linaenda kushoto, ukipiga chenga kulia, zigo linaenda kulia. Nyuma huwezi kurudi nyuma! Wakati upo unashangaashangaa zigo kumbe upo unarekodiwa. Kesho asubuhi unakuta umepostiwa mitandaoni unabambia msambwanda ππUmekamatia eeenhe
Watu wanahoji kumbe ndio michezo yako?
π
Sio poa mkuu unajikuta umewekwa mtu kati bila kujua yaan ukija shtuka camera zimesharecordUnajua katika kubambia sio marazote ni mwanaume unataka. Kuna wadada unashangaa mko kwenye foleni ya kupeleka zawadi au kucheza mziki GHAFLA Msambwanda huu hapa, ukitaka kupiga chenga kwenda kushoto, zigo linaenda kushoto, ukipiga chenga kulia, zigo linaenda kulia. Nyuma huwezi kurudi nyuma! Wakati upo unashangaashangaa zigo kumbe upo unarekodiwa. Kesho asubuhi unakuta umepostiwa mitandaoni unabambia msambwanda ππ
Halafu hao wadada/wamama wenye msambwanda/matako/makalio wanafanya makusudi anatembea taratibu huku anakata kiuno taratibu makusudi. Halafu kwa nyuma anakuwa na shoga yake amekutaiti yani unajikuta umewekwa mtu kati. Wakati upo unashangaashangaa ili mmkatoe zawadi au mcheze fastafasta unakuta usharekodiwa na kupostiwa. ππ. Yaani unakuwa huna raha.Sio poa mkuu unajikuta umewekwa mtu kati bila kujua yaan ukija shtuka camera zimesharecord
π
Ndio hivyo mkuu ila hizi sherehe hizi watu wanaonekaga vituko aiseee sio kabisa kuna siku camera zitavunjwa ukumbiniHalafu hao wadada/wamama wenye msambwanda/matako/makalio wanafanya makusudi anatembea taratibu huku anakata kiuno taratibu makusudi. Halafu kwa nyuma anakuwa na shoga yake amekutaiti yani unajikuta umewekwa mtu kati. Wakati upo unashangaashangaa ili mmkatoe zawadi au mcheze fastafasta unakuta usharekodiwa na kupostiwa. ππ. Yaani unakuwa huna raha.