Tahadhari kwa madereva wapya

Very true mkuu, imeshawahi kunitokea naendesha gari nipo spidi 120 nikakutana na tuta kubwaaa.....kilichotekea ni siri yangu..
 
Thread nzuri mkuu, inaelimisha. Ilishawahi kunitokea kusinzia wakati naendesha barabara ya Kibiti Lindi kwa sababu ya hiyo fatigue(sikutaka kupumzika kwa sababu lengo lilikuwa nifike na kuanza shughuli iliyonipeleka siku hiyo hiyo) ila nilikuwa nashtuka gari ilipokuwa inaanza kwenda pembeni,kuna sehemu zimenyooka kwa umbali mrefu na kuna signs za 100Km/hr sijawahi kuona sehemu nyingine signs hizo hapa Tanzania maana siku zote tunaambiwa speed limit ni 80Km/hr.
 
Dr.dereva.asantesana.bwana.kwa..somo.kama.mtu..hajakusoma.baasi
 

Vitu vingi ulivyosema vipo kwenye Alama za barabarani tatizo madereva wengine wahazijui kabisaa na lesseni zao za mwembeni,vitu kama kuovertake kwenye kona Limekatazwa kwenye sheria za barabarani,kuhusu kama kuna matuta mbele au kona kali kuna vibao vinakupa taarifa mapema,na chakuongezea tu sehemu kama ndio mara ya kwanza unapita au haujapita muda mrefu ni bora kuendesha gari kwa mwendo wa kawaida kabisa kwani vitu kama mashimo yaliyojitokeza kwa uharibifu wa barabara hauwezi kuona kwenye vile vibao vya alama za barabarani,au ajali iliyotokea muda mfupi uliopita huwezi kujua na kitu kingine usiamini sana break huwa zinafeli sometimes,Laiti ungejua mfumo wa break unavyofanya kazi kamwe usingejitutumua kuendesha gari speed 120,shukrani mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…