Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
kwenyevambulance hapo uongo
Tungewapa traffic likizo ya walau miezi mitatu halafu JWTZ wangeshika hii kazi kwa muda huo ili kujenga nidhamu na uzalendo kwa madereva. Maana Bongo hatufuati sheria bila shuruti.
Kwan JWTZ watafanya nn?
Katanue Lugalo/Makongo pale utapata jibu mkuu.
Acha woga brother... zile nguo tu. hata wewe ukitaka unavaa
Kwan JWTZ watafanya nn?
Tatizo ni hawa law enforcers wetu. Wangesimamia sheria, wananchi tungeshika adabu muda mrefu.
Wiki jana nimeshuhudia trafiki akiipokea rushwa ya sh. 1000 (elfu moja)! Ni aibu kwa jeshi la polisi!
Najua ya kwamba akili ni nywele wengine wanazo na wengine hawana wanavaa mawigi. Sijasema nawaogopa na sijaongelea magwanda. Ningesema kapite kwenye duka lenye magwanda ya JWTZ sawa lakini nimegusia sehemu yenye watu wanaosimamia nidhamu na sheria kwenye maeneo yao. Labda tumepishana kwenye weledi tu mkuu. Nisamehe kwa hilo.
Ushawahi kuoga maji kisoda na sabuni mche mzima wewe?
Ushawahi kuoga maji kisoda na sabuni mche mzima wewe?
Hii mikwara ilikuwa zamani, sasa hivi hakuna.
Jaribu kumfanyia fujo mjeda au karibu na kambi yao ndio utajua ya kale hayaozi...