Safi sana........wewe kwenye alama ya kukimbia 50 kwa nini ukimbie 100......?......mstari wa kuzuia overtake.........wewe unaovertake kwa nini.....?.......
Polisi kwa mtindo huu wanaweza kufa njaa maskini lakini wacha tunyooshane kwanza.........
Nimeipenda hii.............
Tena wapige fain na kupunguza points(kama zipo) kwenye leseni ili heshima ya sheria iwepo.
Bora wewe umetii wito wa kamanda kuondoka Dom fasta ..wapigwe tu.