Tafuta shule center

jounne2016

Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
7
Reaction score
0
TAFUTA SHULE CENTER inamsaidia mzazi kwa kumtafutia shule nzuri ya sekondari au chuo kwa mtoto wake ndani ya Tanzania kuligana na mahitaji ya mzazi..
Pia inakupa taarifa zozote muhimu za shule yoyote ya sekondari au chuo ndani ya Tanzania na inatoa ushauri kwa wazazi na wanafunzi kuhusiana na kozi ambayo mwanafunzi atahitaji kusoma. Wazazi wanaotaka kuhamisha watoto pia tutakufahamisha shule zenye nafasi Baadhi ya fomu zinapatikana ofisin kwetu mnazi mmoja DSM na Morogoro mjini 0713689829 na 0769648110
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…