Huu msemo wa tafuta pesa sijawahi kuuelewa,pesa unatafuta wapi na huna kazi wala mtaji wa biashara? Au kuna sehemu ya kuzitafutia hizo pesa mimi sipajui.Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji
Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa.
Wenye pesa hawahitaji kujieleza wala hawana maelezo mengi, na bado wanaeleweka tu.
Kwenye kikao cha familia wewe kama huna pesa na hata kama wewe ni mkubwa toa maelezo utoavyo, utasikia hebu sasa kaa chini tumsikilize mdogo wako kutoka Wang'ing'ombe anasemaje.
Kwenye misiba na sherehe kama huna pesa utachanja Kuni, utatafuta viti na turubali.
Kama unadhani Mwenyekiti anawasimanga wasio na pesa fanya utafiti mdogo kwenye vikao vya familia, dili za biashara, harusi, misiba.
Mwenyekiti wenu sina uhakika kama hali hii pia ipo kwenye kutongoza.
Anyway, mwanaume pamoja na mambo mengine tafuta pesa, upunguze kujieleza kwenye vikao vya ukoo na familia. Tafuta pesa izungumze kwa niaba yako, wanasema money talk, tafuta pesa ikurahisishie kupata pesa, tafuta pesa ikukamilishie deal zako, tafuta pesa nayo pesa itakutafutia na kukupa unachokitaka.
Tafuta pesa hata ukifa ukiwa umeoa wanawake 6 hilo kanisa lako linalopiga vita ndoa za wake wengi watakuja kukuzika kwa heshima zote. Pesa inapiga upofu hata Sheria za kanisa.
Nasema uongo ndugu zangu wanaume?
#boychildadvocate #relationship #marriage #NDOA #talaka #wanawake #wanaume #women
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Afadhali wewe, mimi hata kwenda siendi.Sasa ndio utusimange tusiokuwa na fedha.
Katika vikao vya Ukoo na Familia sina kiherehere kabisa tena sichangii hoja yoyote kwasababu najua madogo na vijisenti vyao vya kununua mboga wanajifanya wanajua kila kitu.
Unaongea tu tafuta pesa tafuta pesa,husemi kwa njia ipi inayo sababisha pesa nyingi hapo ulipo wewe mwenyewe utakuta huna pesa. AaaahMwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji
Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa.
Wenye pesa hawahitaji kujieleza wala hawana maelezo mengi, na bado wanaeleweka tu.
Kwenye kikao cha familia wewe kama huna pesa na hata kama wewe ni mkubwa toa maelezo utoavyo, utasikia hebu sasa kaa chini tumsikilize mdogo wako kutoka Wang'ing'ombe anasemaje.
Kwenye misiba na sherehe kama huna pesa utachanja Kuni, utatafuta viti na turubali.
Kama unadhani Mwenyekiti anawasimanga wasio na pesa fanya utafiti mdogo kwenye vikao vya familia, dili za biashara, harusi, misiba.
Mwenyekiti wenu sina uhakika kama hali hii pia ipo kwenye kutongoza.
Anyway, mwanaume pamoja na mambo mengine tafuta pesa, upunguze kujieleza kwenye vikao vya ukoo na familia. Tafuta pesa izungumze kwa niaba yako, wanasema money talk, tafuta pesa ikurahisishie kupata pesa, tafuta pesa ikukamilishie deal zako, tafuta pesa nayo pesa itakutafutia na kukupa unachokitaka.
Tafuta pesa hata ukifa ukiwa umeoa wanawake 6 hilo kanisa lako linalopiga vita ndoa za wake wengi watakuja kukuzika kwa heshima zote. Pesa inapiga upofu hata Sheria za kanisa.
Nasema uongo ndugu zangu wanaume?
#boychildadvocate #relationship #marriage #NDOA #talaka #wanawake #wanaume #women
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Sasa wote wakiwa na hela nani ata chanja kuni? Hahahaha.Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji

Umeongea kitu kikubwa .. najua unakumbuka harakat zangu humu jf ilaa nimegundua pesa siyo kila kitu😰Mara nyingi haya ni maneno ya wasio na pesa. Ukiwa na pesa ndio utagundua pesa sio kila kitu.