Tafsiri ya usemi "Wanaume wa Dar"

Came from the horses mouth itself kabisa..
Mwanaume wa dar akiutetea uanaume wa dar...safi kabisa
 
WA MIKOANI NI WAZEEE WA NGUNA N halafu mnasumbua waGUMU, HAO WA DRESSING TEBO MIKOANI NI WASORIZIKI, USIJARIBU KUTURINGANISHA NA HAO MIDEBWEDO WA DAR, WASUGULIWA MIGUU NA KUCHA
Wengi wenu mnatokaga mikoani halafu mnasumbua wenyeji
 
Acha kupotosha mwanaume wa dar wanaishi Dar??
 
unakula wali kwa kijiko ujue wewe ni mwanaume wa Dar.
[/QUOTE]
kweli we nawe maamuma
 
msemo wako wew niwa dar kinondoni ao sinza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wale wa tanga wanakula maandazi usiku kama kilalio.Tuwaweke wapi?
 
Ukiwa maliwato unatumia maji badala ya kuingia na fuko lako la mchanga, hata kama uko Kanda Maalumu wewe ni wa Dar tu!
 
uko singida AF unafatilia season ya kihindi na wewe ni mwanaume wa dar
 
Write your reply...MWANAUME WA DAR ANAOGOPA KORONA UTAMUONA MUDA WOTE KAVAA BARAKOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…