Tafakuri kuhusu rebound relationships

UKpound

Member
Joined
Jul 26, 2018
Posts
79
Reaction score
151
REJEA MADA TAJWA HAPO JUU.
Habari zenu wanajamvi.
Moja kati ya changamoto nilizowahi kutana nazo kwenye mahusiano ni pale mnapoachana na msichana/binti/mwanamke mliyekuwa kwenye mahusiano halafu ghafla bin vuu unamkuta kwenye mahusiano mengine,wataalam wa mahusiano HIVI NI KWA NINI REBOUND RELATIONSHIP?? Ni nini hasa inasababisha hali hii?


NOTE:Changamoto kubwa ni anapokuwa kwenye mahusiano hayo mapya anajaribu sana kukuonyesha kuwa yuko kwenye mahusiano yan kujipitisha pitisha mahala ambapo anajua atakuona na ukifanikiwa na wewe kuwa na mpenzi mwingine anaanza figisu kukuharibia kwa mpenzi wako mpya.
WOMEN nini hiki mnafanya?
 
ni ajali kama ilivyo ajali nyingine





yes bishoo haswaaaa
 
Ila mwanangu wanaumme tunaongoza kwa wivu na roho mbaya.
 
Kwahiyo mtu hatakiwi kuwa na mtu mwingine mkiachana?!
 
You feel empty to the point unaogopa kua mwenyewe..then unajikuta unamkubali mtu mwingine haraka haraka kama anaonyesha kukujali.
Most of the time it doesn't end well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You feel empty to the point unaogopa kua mwenyewe..then unajikuta unamkubali mtu mwingine haraka haraka kama anaonyesha kukujali.
Most of the time it doesn't end well

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongoooo....!! Huyoo ujuee tayarii alikuwa naeee...Hatuwezi kuachana Leo kesho unakuwa na MTU mwinginee....au unaanda kumpost sijui! Lazima ulikuwa naee wakati tunadate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongoooo....!! Huyoo ujuee tayarii alikuwa naeee...Hatuwezi kuachana Leo kesho unakuwa na MTU mwinginee....au unaanda kumpost sijui! Lazima ulikuwa naee wakati tunadate

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kua uongo kwako,ila that's the reality. Kua na mahusiano mengine mda mfupi baada ya breakup haimaanishi ulikua nae huyo mpya ukiwa ndani ya mahusiano. Zipo factors chache najua to back that up.
Alafu sio mapenzi yote ni ya kupostiana mtandaoni huko. Hizo kupostiana unazoongelea mara nyingi yanakuaga ni mashindano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulikuwa unachapiwa mda tu na tujibao chako tumoja chali unategemea nn
 
Sasa inakuaje changamoto wakati mmeachana? Mkiachana kila mtu si anafanya yake anawejua mwenyewe, acha watu wakulane we jua yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…