Tafakuri: Dunia hulizunguka jua

Joined
Aug 13, 2015
Posts
94
Reaction score
164
Dunia hulizunguka Jua, kadhalika uliposimama leo kama ni kivulini kesho patakua juani na kama ni juani kesho patakuwa kivulini. Wewe uliye kiongozi usimdharau asiye kiongozi, na wewe uliye na kazi usimdharau asiye na kazi. Tuishi kwa kuheshimiana
 
Usemalo kweli ila kuna muda naona nyingine zaweza kuwa dua za kuku kwa mwewe,

Ukweli ni kwamba, dunia nzima walio kwenye system asilimia kubwa wamefuata nyayo za watu ambao ni relatives wao na kuwapa ama hamasa au channel,

Nimeshangaa juzi kugundua kwamba ukoo wa Kina Bush kinaendelea kuwaandaa watu na kuwafundisha njia au jinsi ya kushika ngazi za juu za uongozi katika Taifa hilo ikiwemo nafasi ya urais,

Hata hao akina Nyerere tunaodhani waliibuka from No where tunajidanganya wale walikuwa watoto wa machief,

Sikatai kuwa wapo wanaodondokewa mazali kama Mkapa na Magufuli lakin nao wakiingia siku hizihizi wanatengeneza channel za watoto wao

Hivi fuatilia history ya Kikwete baba yake alikuwa nani

Fuatilia wote kina Zuma na wengine,

Hivo kusubiri tu Dunia izunguke watoke bila kuangalia ustaarabu mwingine tutaumia sana hasa kwa nchi zetu ambazo kiongozi ndo katiba anaamua atakavyo yeye
Cc Sky Eclat

Britannica
 
Sawa mtoto wa mkemia ila hujaniambia mzee wako alikuwa awamu ya ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…