Habari zenu waungwana..naombeni ushauri wa kiafya!nilikutana na mpenz wangu mpya kimwili nikiwa nimemaliza tu period..na baada ya hapo analalamika anawashwa pia anahisi maumivu makari.kwaiyo naomba nijuzwe ni dawa gani yaweza kutibu hilo tatzo?kwa upande wangu niko safi ila yeye ndo anawashwa!
Habari zenu waungwana..naombeni ushauri wa kiafya!nilikutana na mpenz wangu mpya kimwili nikiwa nimemaliza tu period..na baada ya hapo analalamika anawashwa pia anahisi maumivu makari..kwaiyo naomba nijuzwe ni dawa gani yaweza kutibu hilo tatzo??kwa upande wangu niko safi ila yeye ndo anawashwa!!tafadhali ushauri wenu

Pole sana. Kwanini ulifanya hivyo na kwenda kavu?. Mwanamke akitoka tu kwa siku zake huwa kunakuwa na uchafu na wakati mwingine bakteria huwepo ambao kama ukakutana na mwanaume atapata matatizo kama hayo.pia huweza kupata, vidonda ana kuwashwa sana lakini hupona vyenyewe baada ya muda mfupi. lakini kama tatizo linaendelea inawezekana ni tatizo lingine mshauri akapime ajue tatizo kwanza na ataambiwa matibabu yake.