Tafadhal nahitaj msaada wk nko njia panda???

si umuache wanawake tuliojaaa! wamng'ng'ania wa nini ladha yenyewe ya ndimu ngozi ya limao.
nenda kwenye ladha ya TENDE utamu wa kuzaliwa.
 
jichunguzr mwenyewe, je unamuheshimu?
Je unamajibu / kauli nzuri kwake?
Je huwa unaomba msamaha unapokosea?

Mwisho kabisa penzi halilazimishwi, likiisha songa mbele

Namuheshimu sana na pia huwa namuomba msamaha pale ninapokosea.
 
wakubwa kanipigia cmu kani apology amesema hatorudia tena kufanya makosa anayonifanyia so, nimpe last chance?
 
Mtu anataka muachane then unamkatalia???? ndo maana ndoa hazidumu,kumbe kuna kulazimishana???mwache afanye anavyotaka. Nani kakuambia huyo ndo atakuwa mke wako???think outside the box!!!
 
Actions speak louder than words, ashasema hakutaki... Hebu mwache aende, fungua macho na moyo wako, try someone else.
 
Kwanza,nilijua ii,thread ya dem,kumbe man? Uyo ashakuchoka! Achana nae,tafuta altenative!
 
Wewe unampenda, yeye hakupendi. Ukimuacha utakuwa umemtendea haki pia, maana hana mapenzi nawe tena. Inauma, lakini haitakuua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…