kuna Wi-Fi zina captive portal yaani ni free wi-fi lkn uki-load page zinakuomba userID na pswd au uweke credit card yako wakukate hela afu ndi uload page sana sana ktk Airport na Mahotel makubwa hapa bongo
Hii app mm ninapoishi ni karibu na Chuo na wana Wi-Fi ya hivi hivo ktk PC yangu natumia Ultrasurf ku-bypass na ktk Android natumia Krejzi WiFi - DNS tunnel
Pia kuna Hii Wi-Fi hapa Town inaitwa ADN pia nayo kipindi nakaa masaki ilikuwa iko free lkn una-open Homepage tu yao afu wanakuomba ulogin acc yako
Mkuu acha kujisumbua na hizo apps wifi hacking za play store, most of them a prank apps, nakushauri soma kwanza maelezo kabla hujafanya download yoyote