Kama mnaoana wakati mmeshaanza maisha na mnapesa za kutosha si mbaya kufurahia siku na ndugu na marafiki. Kama ni vijana mnaoana ni kheri kuangalia maisha ya mbele baada ya harusi.
Binafsi sina marafiki wengi sana, nikibudget harusi ya watu 200, 100 kutoka upande wa pili, hawa wale wanywe na kucheza mziki ninaona inatosha kuliko kufurahia ulikua na watu 600 kwenye harusi yako ambao huwafahamu.