usinyooshe kidole kwenye kaburi,
ukimuona albino temea mate kifuani,
ukiitwa usiku na mtu usiyemuona usiitikie.
Hiyo ya kujitemeamate kifuani aisee natamani kuifanya hadi leo. Naogopa albino hadi najisikia aibu. Natafuta rafiki ili niiface hii phobia
Mkuu hiyo kwenye Red haikuwahi kunisaidia hata kidogo. Nilikuwa nikifanya soo home Maza akikaribia kurudi kutoka kazini nilikuwa natumia hiyo mbinu ili asahau...duuuh lakini matokeo yake nilikuwa nachezea bakora za kifimbo cheza cha mtoto..lol.ukitaka mtu asahau kitu unakunja konya au unaweka kijiti kichwan (kwenye nywele)
Duh!!! Kwa hiyo vinyonyo vidogo vilikuwa vinakuudhi?Ukiweka sungusungu kwenye manyonyo na akakung'ata basi yatakuwa makubwa. Sasa asipong'ata atakandamiziwa kichwa hadi akate roho.
Ukiwa na kwikwi meza mate mara 10.
Duh!!! Kwa hiyo vinyonyo vidogo vilikuwa vinakuudhi?