Mzigo uko sokoni
BRAND- X-TOUCH
PROCESSOR-1.2GHZ
RAM-1GB
MEMORY-16GB
DISPLAY SIZE-9.7"
HDMI PORT
CAMERA: FRONT -2MP
. PRIMARY -3.2MP
PRICE 400,000
CONTACTS 0718355635
NAPATIKANA DAR ES SALAAM.
ntaweka picha ivi punde.
Hujataja vitu viwili vya muhimu sana, kwa kipindi hiki ambacho Tablets ziko kibao:
1. Processor ni Single/Dual-core? Na jina la processor pia muhimu.
2. Ina tumia Wi-Fi only au both Wi-Fi na 3G/4G?
kwakweli kuhusu aina ya processor na jina lake sijajua bado labda unipe utaalamu ni namna gani ntafahamu kuwa ni duo core au single....
ila swali lako la pili naweza kulijibu...ni wifi ..haitumii sim card

Nilitaga ku google ila daah imekua ngumu maana hujasema X-Touch toleo gani? Yaani hapo ni sawa umesema Nauza iPad ila hujasema iPad 1, 2, 3 or air.
Au sawa umesema nauza computer ya Dell.. Ila hujasema ni Vostro, Latitude etc..
Google itatupatia specification zote tukijua model ya hiyo tab
ni kweli...ila the good thinf ni kwamba ina support modem...kwaiyo internet haitakuwa tatizo kabisa...