FORTALEZA, HIVI NDIVYO ITAVYOKUWA.
1. SimbA SC.
2. NamungO.
3. AzaM FC.
4. Dar Young Africans.
REASONS:
1. SimbA SC, hawajavuruga kikosi chao cha kwanza, kisha wakaongeza wachache wenye uwezo.
2. NamungO pia, Utumiaji mzuri wa uwanja wa nyumbani, pia nitimu inayocheza kwa maelekezo kutoka juu.
3. AzaM FC, wako kimkakati zaidi, naamini wataanza walivyomaliza.
4. Yanga wanahitaji muda zaidi, Maana bado hawachezi kitimu, pia usajili wao ulikuwa wa maruhani, upande ushambuliaji hasa kushoto wako vizuri pia beki wako vizuri sana.
Ila Kiungo hamna kitu, Mukoko ni tozi tu asiyejua mpira.
Ahsante.