Kuna mmoja ananiambia luku ya nyumbani kwao imeisha nkamwambia nenda kwenye kituo cha kuuzia mbona zipo! Amenuna simu hapokei,hajui nami ndo nnsepa zangu!
Mi nashangaa mwanaume anakwepa kuhongauanaume ni kuhonga
This is too much for them ladies mkuu! Inasound kiudhalilishaji vile,kama ipi treat wa kwako hivyo na umweleze haya yote lkn as a man huwezi kuwa sawa na mwanamke in every aspect,mimi niko proud nikiwajibika,lets give them break at leastDuh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu! wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandidaladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar,tukatembelee Serengeti mmmh! wavyuoni ndio balaaa wanataka uwalipie ada pia na hela za matumizi juu! je hamna wazazi or walezi wenu? hela za bodi ya mkopo mwapeleka wapi?Msiwasumbue Boyfriends zenu kwani kama ni mapenzi mna-share wote the sameNaomba kuwasilisha . . .
Kuna mmoja ananiambia luku ya nyumbani kwao imeisha nkamwambia nenda kwenye kituo cha kuuzia mbona zipo! Amenuna simu hapokei,hajui nami ndo nnsepa zangu!
Yaaani wewe uko juu, lazima mwanaume ajulikane na mwanamke ajulikaneThis is too much for them ladies mkuu! Inasound kiudhalilishaji vile,kama ipi treat wa kwako hivyo na umweleze haya yote lkn as a man huwezi kuwa sawa na mwanamke in every aspect,mimi niko proud nikiwajibika,lets give them break at least
Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu!
wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandi
daladala eti njoo unichukue na ur private Car . . . Mara naomba hela ya Salon, nataka kwenda Zanzibar,
tukatembelee Serengeti mmmh! wavyuoni ndio balaaa wanataka uwalipie ada pia na hela za matumizi juu! je hamna wazazi or walezi wenu? hela za bodi ya mkopo mwapeleka wapi?
Msiwasumbue Boyfriends zenu kwani kama ni mapenzi mna-share wote the same
Naomba kuwasilisha . . .
Yaaani wewe uko juu, lazima mwanaume ajulikane na mwanamke ajulikane
Yaaani wewe uko juu, lazima mwanaume ajulikane na mwanamke ajulikane