98mzavallah
Member
- Feb 13, 2015
- 37
- 12
Tabia hii ni maarufu supermarket za Game na TSN zote
Bila kusahau Uchumi
Bila kusahau Uchumi
Jana tu Uchumi wamenidhulumu mia tatu yangu, dawa yao ninayo, ni kuanza kuchukuwa zile chocolate karibu na cashier halafu unawaambia wewe pesa iliyopelea utawaletea kesho.
Uchumi ndio zao hizo
Naona kuna kafaida ka sirisiri wamegundua kukatengeneza kwa chenji za watu