Mwezi mmoja tu baada ya ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana. Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au kuangalia matokeo badala ya kuulizia
Mwezi mmoja tu baada ya
ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi
huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana.
Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au
kuangalia matokeo badala ya kuulizia
Mwezi mmoja tu baada ya ndoa, nikikutana na ndugu, jamaa na marafiki, baada ya salamu wengi huuliza..."shemeji vipi TAYARI" swali kama hili lina tu frastrate sana. Awe amepata mimba au la haiwahusu tena, nadhani nibusara kunyamaza tu au kuangalia matokeo badala ya kuulizia
hakuna sinaga tabia hiyo, huwa nanyamaza kimya, maranyingi huwa tuna taarifiwa kama shemeji kajifungua ili tukawajulie haliJikumbushe labda na wewe ulikuwa na tabia kama hiyo ila umesahau, kama jibu ni ndiyo sasa ni wakati wako wa kulipiziwa. Samahani kama nitakuwa numekukwaza ila inatupasa kujua kwamba kile mtu usichopenda kutendewa, na mwenzako pia hapendi.