Taarifa.

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
UKIFIKA ule mda wa kujiandikisha kupiga kura vijana wote kuanzia umri wa miaka 18 wajiandikishe kupiga kura na ikifika kipindi cha upigaji kura kampigie kura yako mtu YEYOTE kutika ukawa. Usiache na ukiache usilalamike inchi inaongozwa na wanyonyaji, wala rushwa. Wengi ni washabiki na sio watendaji wa yale wanayoshabikia na ndio maana tumebaki maskini wa kifikra, hali zetu na mali zetu zkiwafaidisha wachache . Chagua UKAWA chagua kuwa MZALENDO wako binafsi na kwa TAIFA LAKO linaloitwa SHAMBA LA BIBI na wenzetu kutoka nje wanaokuja kujivunia magunia kwa magunia ya mali bila kulipa kodi wala kujali wataalamu wetu wala kujali mazingira yetu na meisho wanaishia kutudharau. JIANDIKISHE PIGA KURA YA NDIO KWA MTU YEYOTE WA UKAWA NA KWA KUFANYA HIVYO UTALIOKOA TAIFA MIAKA 10 IJAYO NA MIKONO YA WALEGEVU NA WEZI WA KUIBA BILA KUWEKEZA HAPA NCHINI. PIGIA UKAWA KURA YAKO BAADA YA KUJIANDIKISHA USIACHE MAANA UTALALAMIKA MPAKA UZEEKE. NARUDIA TENA PIGIA UKAWA KURA YA NDIO UKISHA JIANDIKISHA. UZALENDO TUNAO UOGA TUACHE UVIVU TUACHE CHA CHA RANGI YA KIJANI KISIPEWE TENA NAFASI YA KUINYONYA HII ICHI KWA MRIJA. UKAWA DAIMA UKAWA 2015 UKAWA TUMAINI LETU UKAWA TUIUNGE MKONO MIGUU MIKONO NA KURA ZETU ZOTE. UNALO JUKUMU LA KUMWELIMISHA RAFIKI NDUGU JAMAA NA FAMILIA KUJIANDIKISHA NA KISHA KUPIGA KURA. TUSIWAACHE UKAWA PEKA YAO MAANA SIO WAO TU NDIO WANANCHI BALI WOTE TUUNGANE NCHI NZIMA TUWE UKAWA NA HATIMAE TUTASHINDA. MUNGU IBARIKI TANZANI MUNGU IBARIKI UKAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…