Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
Miaka 30-40, bado unatafuta mchumba empty set kabisa. Dead line kuzaa 35, ndo maana mitoto inakuwa ya hovyoooSio kweli wanawake wenye hiyo miaka 30-40 huwa wanajitambua sana tofaut na vitoto vya miaka chin ya hapo
Napinga na siungi mkono hoja
Hapana nawatetea dada zangu mkuuWewe nakujua fika kuwa ni Mwanaume Mkuu au umegeuka ghafla kuwa Semenya?
Hahahaaaa pamoja sana mkuuUlipohama kile chama cha (wabeja/waveja) umejitabua sana
Empty set kabisaMiaka 30-40, bado unatafuta mchumba empty set kabisa. Dead line kuzaa 35, ndo maana mitoto inakuwa ya hovyooo
Wnawake wa age hiyo huwa hawana mambo mengi. Yaan huwa hawana childish behaviours kama hawa wa 20's.. yaan wako straigh kuwa wanahitaj nn, na wanajituma pia.Sio kweli wanawake wenye hiyo miaka 30-40 huwa wanajitambua sana tofaut na vitoto vya miaka chin ya hapo
Napinga na siungi mkono hoja
Mwezi huu ndio kuna ile siku ya wanawake duniani. So, March is all about women! Baada ya mwezi huu watapoa wenyewe.ila wanawake mmewaandama sana this month, mh
Naona Shunie keshafanya yake.Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo ya kwamba 99.999% ya Wanawake wenye Umri wa kati ya miaka 30 hadi 40 huanzisha ' Mahusiano ' ya Kimapenzi na Wanaume ambao hawajawapenda Kidhati ( kutoka Moyoni ) ila hukubali kuanzisha Mahusiano ili tu ' wasichekwe ' na Wenzao au Jamii na kwamba huwa wana Wanaume zao ambao walikuwa wakiwapenda huko nyuma lakini hawakuolewa nao na kwamba hata kama wakiwa katika Mahusiano mapya wale wa nyuma ( waliokuwa wakiwapenda ) wakihitaji huduma ya Kingono basi watapewa muda na wakati wowote na mahala popote pale.
Mlio na Wapenzi / Wake wa hiyo miaka ' watch out '.
Nawasilisha.
Hahaha napita kimya tu yasije yakanikuta.The list hajapita hapa jamani!!!
Huyo ni kaka poa sio mwanaume.Wewe nakujua fika kuwa ni Mwanaume Mkuu au umegeuka ghafla kuwa Semenya?
Sawa sawa DADA POAHuyo ni kaka poa sio mwanaume.