Naona mapema mmeshaanza kumpa kibano anayejiita MWENYEKITI KIVULI. Uongozi una wenyewe.Mtu anashindwa kuongoza ndoa yake eti analilia kuongoza Chit chat..
Hahahaaa subiri malengo yangu yatimie then naachana na mikesha ya usuruhishi
Hebu acha kujifaragua!!Maamuzi mazuri...mi si wa kitoto.
sijambo.ila shem wako kwa nani?
ntake radhi tafadhali
mbona umeondoka nyumbani bila kuaga?
Samahani mke fake
Sitasubiri uwavuruge members wangu hapa jamvini ili utimize "malengo yako haramu".. Jiandae kwa pigo kubwa na takatifu.
sorry nlimpeleka mtoto akamsalimie baba yake
sorry nlimpeleka mtoto akamsalimie baba yake
Kwa nini hukunipa taarifa lakini mke wangu?