TAA ZA CONCERT NA VITI

Silima MK

Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
23
Reaction score
24
Habari wadau, taa kwa ajili ya tafrija mbali mbali pamoja na viti vinauzwa. Bei ya taa ni mil. 12 kwa taa zote na viti ni sh. 40,000/= kwa kiti kimoja. Viti vipo mia sita na taa zipo 27. Tafadhali nipigie 0621882020 kwa maelezo zaidi.
 
Viti bado vipo wadau, napokea minimum order viti 30, bei ya mazungumzo ipo kwa order kubwa karibuni sana
 
Nikiona taa inauzwa 12milioni nashtuka sana,sisi wengine tunajua taa ya chemli tu ambayo haizidi msimbazi.
Msinishangae wajameni mimi nipo Koromije!!
 
Nikiona taa inauzwa 12milioni nashtuka sana,sisi wengine tunajua taa ya chemli tu ambayo haizidi msimbazi.
Msinishangae wajameni mimi nipo Koromije!!
taa zote kwa pamoja zianauzwa 12m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…