Kuna sababu kma tano hapo zinaweza kua kua main reason
1. Oxygen sensor inaweza kua imekufa unatakiwa ku replce na hii inaweza kua hasa kwako sense wali replace gasket
2. Gas cap itakua ime loose au ina damage ina fanya hewa ya nje kuchanganiknana na mafuta
3. Mass Air flow sensor inaweza kua ina shida either inapata signals za uongo kutokana na carbon kwenye cables au imeharibika kabisa
4. Angalia sparking plug cables zako kma zina damage au fireling order ipo vzur inawezekana baada ya ku replce gasket hawaku rudishia vzuri.
Hiii ya tano ni haiana nguvu sana ila ipo hivi
5. Replace Catalytic Converter sina ukakika kma gari yako ina hii kitu