Taa Nyekundu Mashariki ya kati Israel vs Iran

The only way to win the war on terrorism is with an iron fist.
 
Yalisemwa kama hayo kwa Iraq ya Saddam Husein.
 
Mpaka leo kimya. Vita ni hatua and it needs a lot of logistics
Hakuna vita pande zile zaidi ya maneno na kutambiana kiujasusi tu
 
Yalisemwa kama hayo kwa Iraq ya Saddam Husein.
Saddam Hussein alivamiwa na nchi zaidi ya 10 zenye nguvu kubwa za kijeshi duniani tena baada ya kuichunguza Iraq na kuona hamna kitu

Iran ni tofauti sana na Iraq. Musiki wa Iran sio wa kitoto Trump mwenyewe alisaluti baada ya kujalibu kulusha drone yake ya gharama sana na waliyokula wakiamiani haliwezi kuonekana na rada yoyote Ile. Drone hiyo haikuchukua hata dk moja kwenye anga ya Irani wahajemi wakaishusha chini
 
Kuna mtu amekubishia?
 
Kama
hatasaidiwa na US uje unitag
 
Kwanza kile kitendo tu cha kusema atapika kambi za Kijeshi za US pale Baghadad na ikawa kweli inaonesha hao waajemi siyo wepesi na ni ukweli ulio wazi, Israel bila kuungwa mkono na Western bloc, hawez kufanya chochote
 
Israel siyo chochote mbele ya Hezbollah, itakuwa iran! Na msaada wake mkubwa ni marekani n.k. bila ya ivyo ni wakawaida sana. Na ukitaka kujuwa muisrael mwepesi refer yanayotokea baina yake na Palestine/hezbullah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…