Salaam!
Naomba kujua anaeweza kunielewesha jinsi huduma ya maji moto kwenye hoteli kubwa inavyofungwa!
Mfano:- Hakuna valves mbili za ku-control maji (moja maji moto, moja maji baridi)kama maeneo mengi nilivyoona!
Kwenye hotel kubwa valve ni moja na una adjust maji unayoyataka wewe!
Naomba kujua:-
1. Upatikanaji wa system kama hiyo hapa nchini kwetu.
2. Gharama yake
3. Operation charges
Asante!
Hiyo ndo aina ya valve ninayomaanisha!