syria kumekucha

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,486
Un securty council wanasema Assad has lost legitimacy. wamejaribu kila namna kuwaunganisha imeshindikana. wanasema hawawezi kukubali wananchi wa syria waendelee kuuwawa.
 
Kutokuthamini utu wetu ndiyo tunajikuta tuko tunauwana!!
 
....Lakini hizi idadi za watu wanaosemekana kuuawa kila siku zinazotolewa na taasisi mbali mbali za Umoja wa Mataifa na Taasisi nyingine ni za Kweli ama jamaa wanamchukia tu Assad na wanataka kutuaminisha na sisi wengine kuwa jamaa hafai?? kila wiki/siku utaikia idadi mpya ya watu wanaosemekana kuuawa na majeshi ya serikali lakini hata siku moja husikii hata askari mmoja kuuawa! Hizi tarakimu zina ukweli wowote ama jamaa ndio wanataka kumuondoa Jamaa madarakani kama walivyofanya kwa wengine???
 
rais wa syria yatampata yaliyompata ghadaf sasa kama wananchi hawakutaki unalazimishia nini wakati hukuzaliwa ili utawale milele wewe na kizazi chako?
 
hawa jamaa ukisikia tu wanaanza kutumia hovyo visentesi vyao "lost legitimacy" umeumia watafanya kila njia wakumalize.

ni watu waliojaa fitna daima. Na ukiona mtu ang'ang'na kubaki, fahamu nyuma kuna madhambi mengi tu ameshafanya hataki watu wajue.

na katika dunia hii hatungalii mazuri mangapi umefanya, kosa moja tu linafuta yate mazuri na unaonekana adui mkubwa
 
Una point nzuri, lakini tatizo linabaki pale pale, yeye Assad kwa nini asingejipumuzikia tu?? Unajua ukifuata trend ya hii hali ya hewa utagundua kuwa watu wanapenda kutawala "power" kama ilivyo kwa wanandoa!
 
ajabu ni kwamba ukifungua tv ya urusi ile RT utashangaa kuwa inaongelea tofauti kabisa na kila kinachoongelewa na cnn au bbc na al jaazera.....waarabu wamekwisha aisee. akili yao ndogo sana kuiendesha upendavyo.
 
Mkuu MpigaKelele, propaganda za kirashia zinakupotosha!
Mkuu, ushahidi wote wanaotoa (RT,CCTV,PRESSTV n.k.) pamoja na mazingira ya wazi ya kupinga amani nchini Syria ya wapinza wehu wa Serikali ya Syria (W2S2) bado una sema hizi ni propaganda za Urusi? Hapa hauitendei haki RT na washirika wake.
 
Cha kujiuliza hao wapiganaji wa Syria wanatoa wapi silaha za moto tena nzito? Westerns are behind this game, anachofanya Assad ni sahihi. Afterall, tusubili USA aanze kumwaga silaha kwa vikundi vya hapa TZ, hopeful ndio tutamuelewa yeye ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…