Hawa ISIS tumeshajua ni US. Kule iraq wanacheza picha tu na wanajeshi wa US. Na main target ndiyo hiyo. Syria ana uwezo mkubwa wa airbase. Sasa inakuwaje jamaa wayateke makao makuu ya kijeshi ya Syria? Au mi ndo sijaelewa wadau? hapa US lazima huko nyuma yao.