Symbion Power: Intelligence watupu

Symbion iwe ya Rostam alafu anayefanya udunguzi awe Obama? Au pale Obama alipofungua symbion kwa kupiga danadana alikua anamuunga mkono Rostam? Hayo ni maswali ya kutaka kufunguliwa maana ninefungwa.

Mkuu Obama hakujua kinachoendelea, ilikuwa ni mbinu ya kupumbaza watanzania. Walitumia nguvu kubwa kuhakikisha wanampeleka. Time will tell, just keep fingers closed
 
Na wa rites ??? Nyie mnaambiwa wawekezaji kumbe wachotaji .....
 
Ni kweli aliyeleta IPTL ni yule alitetajw na Lisu. Huyu bwana mleta hoja msipuuze anachokisema. Hili kina ukweli na ndiyo maana watu walazimisha wale wanaohisi wao kwamba watawalinda kuwa Rais Wa JMWT. Wanafanya hivyo kulinda maslahi yao. Nchi ni yetu sisi tuwashukie Kama mvua na tukatae maovu yao!
 
Ni kweli kabisa mtoa Mada hili ni kamilfu na yakini Jk ypo El kadhalika bilashaka Tuombeni Mungu waumbuke nchi iende kwa Mpibzani UKAWA tujue kuchambua masuke na ngano
 

Perepete za wabongo... ilmradi na yeye aonekane kaandika
 
Nadhani mtu makini mwenye timamu hawezi kuchangia hii kitu ni upuuzi mtupu. Simple minded discuss...........
 
nenda shule sio kila kitu utafuniwe..hata waziri alie jiuzulu humjui..!?? Uko nchi gani..shuleeeeee

Inamilikiwa na "Viongozi wa juu akiwemo "kiongozi wa juu kabisa",asomaye na afahamu!
 
Hivi inawezekana kuwa pale Muhongo alipokuwa anatajataja malipo kwa wakili mkono kuna kitu alikuwa anakisema kisailensa? Inawezekana kwakuwa Muhongo ni mpya huku serikalini hayuko kwenye umiliki na wenyewe ni wale ambao wamebobea sasa jamaa akawa na hasira sana kuona kuwa anabebeshwa mzigo usio wake? I am just saying... maana sanyingine umdhaniaye ndiye kumbe sie.
Halafu kitu kingine cha ukweli ni kwamba hamna mfanyabiashara yoyote duniani ataweza kugawa mabilioni yake kama njugu hivi hivi bila sababu. Pale vigogo wote waliopewa kuna kitu pale. Halafu mtu mzito serikalini akishagawiwa fedha vile na.mtu binafsi je.ataweza kuwa neutral tena? Hiyo tu tayari inawalakini kupokea hela ya mtu. Walitakiwa kuachia ngazi hapo hapo
 
Mtu kasema wanaohusika ni viongozi wakuu wa serikali hasa kiongozi wa juu kabisa na waziri aliyejiuzulu sasa nini hakutaja hapo
 
Ni kweli 200% yote aliyosema mleta mada. Hata 1.6 billion walizopewa baadhi ya watu mgawo wa escrow zimebeba wahusika ambao kuwapata si rahisi. I.e no traces.
 

Naomba hii nchi inunuliwe na Uingereza au Ujerumani. Ni bora kuibiwa na watu wa nje kuliko wa ndani. Mbwa akianza kuiba nyumbani huuawa.
 


Wacha kuhangaika bure tafuta signature ya Wacha1 utafahamu wamiliki wa hayo makampuni ya kifisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…