M madigida Member Joined Jan 30, 2013 Posts 40 Reaction score 2 Jan 21, 2014 #1 Habari wana jamvi, naomba msaada kwa anaye fahamu sylubus kwa Combi ya H.G.E nataka kuandaa vitabu na materials nyingine kwa ajili ya maandalizi kujiunga na kidato cha tano.
Habari wana jamvi, naomba msaada kwa anaye fahamu sylubus kwa Combi ya H.G.E nataka kuandaa vitabu na materials nyingine kwa ajili ya maandalizi kujiunga na kidato cha tano.