Automation/Robots ndio zitalipa hiyo mishahara maana ndio zimechukua kazi zote zilizokuwa zinafanywa na binadamu,hii issue hata huku baadhi ya sehemu west coast wanaifanyia majaribioSASA HELA HIYO WANAITOA WAPI?
DOLA US$ 30,000 KWA KILA MTU?Automation/Robots ndio zitalipa hiyo mishahara maana ndio zimechukua kazi zote zilizokuwa zinafanywa na binadamu,hii issue hata huku baadhi ya sehemu west coast wanaifanyia majaribio
SASA HELA HIYO WANAITOA WAPI?
Possibly lakini haya mambo is just a trial na hakuna mwenye uhakika na outcome ya hii experiment ni ideas tuu za some Economist in order to provide some safety net against poverty,lakini for now kutokana na advancement of robots/technology in general imefanya human awe replaced kwa kiasi kikubwa sana, ukiangalia datas from factories/businesses you will be shocked, nilimsikia CEO mmoja akisema last 10 years wameongeza production almost 500% and at the same time human manpower wamekata almost 75% kutokana na robots/technology..think about it,kwenye Agriculture ndio worse nimeona shamba la zaidi ya acre 2000 likihudumiwa na watu wawili tuu then kila kitu ni automation na wanazalisha kweli kweli sio mchezo na imefika point wanazalisha surplus mpaka serikali inawalipa ili wasilime,CEO wa McDonald kasema wakiamua kwenda full automation na hiyo technology ipo tayari wana uwezo kukata manpower zaidi ya 75% (1.5 million employees) na kuwa more efficient,tunapoelekea itakuwa ni full machines with Artificial intelligence.DOLA US$ 30,000 KWA KILA MTU?
Possibly lakini haya mambo is just a trial na hakuna mwenye uhakika na outcome ya hii experiment ni ideas tuu za some Economist in order to provide some safety net against poverty,lakini for now kutokana na advancement of robots/technology in general imefanya human awe replaced kwa kiasi kikubwa sana, ukiangalia datas from factories/businesses you will be shocked, nilimsikia CEO mmoja akisema last 10 years wameongeza production almost 500% and at the same time human manpower wamekata almost 75% kutokana na robots/technology..think about it,kwenye Agriculture ndio worse nimeona shamba la zaidi ya acre 2000 likihudumiwa na watu wawili tuu then kila kitu ni automation na wanazalisha kweli kweli sio mchezo na imefika point wanazalisha surplus mpaka serikali inawalipa ili wasilime,CEO wa McDonald kasema wakiamua kwenda full automation na hiyo technology ipo tayari wana uwezo kukata manpower zaidi ya 75% (1.5 million employees) na kuwa more efficient,tunapoelekea itakuwa ni full machines with Artificial intelligence.