Ni kongamano LA DiasporaKama siyo utapeli ndg exit hebu weka wazi kwa undani linahusu nini hilo kongamano, wahusika (waandaaji) kina nani na kwa nini Mtanzania ajisajili ahudhulie na kiasi hicho kinalipiwa kwa nani?
Tunaotaka kuwa diaspora tunaruhusiwa kuhudhuria?
Sio utapeli ni kongomana la uzinduzi wa UMOJA wa wa tanzania wote wanakoaa njee ya nchini (TDC Global) unaweza pitia hata website yao www.tdcglobal.org linafanyika sweeden, hiyo pesa ulipiga ni yakwako mwenyewe kwa ajili ya malazi na chakula, uzinduzi unafanyikia kwenye meli kubwa ya talinks ndio huko huko kuna vyumba na kila kitu. Tatizo la aliweka hili tangazo kama anakimbizwa.. [emoji2]Kuna harufu ya utapeli kabisa hapa.
Na kuna wajinga watapigwa vijihela vyao sasa hivi
Yes lina husu pia maswala la uwezeji taasisi nyingi tuu za hapa zimethibitisha kuhudhuriaTunaotaka kuwa diaspora tunaruhusiwa kuhudhuria?
Sio utapeli.. Soma kwenye website yao pia www.tdcglobal.org ni uzinduzi wa TDC Global pamoja na uwekezaji..Kama siyo utapeli ndg exit hebu weka wazi kwa undani linahusu nini hilo kongamano, wahusika (waandaaji) kina nani na kwa nini Mtanzania ajisajili ahudhulie na kiasi hicho kinalipiwa kwa nani?
mara nyingine kuliwa ni kutamu usikimbie[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapa hapafai ngoja nikimbie naweza kujisahau nikaliwa
Wabongo muwe mnasoma kitu na kuelewa sio kukurupuka tu. Maelezo yote yapo kwenye link zao humo.Kama siyo utapeli ndg exit hebu weka wazi kwa undani linahusu nini hilo kongamano, wahusika (waandaaji) kina nani na kwa nini Mtanzania ajisajili ahudhulie na kiasi hicho kinalipiwa kwa nani?
Wewe unayeingia kwenye link ungeelezea kila kitu.Wabongo muwe mnasoma kitu na kuelewa sio kukurupuka tu. Maelezo yote yapo kwenye link zao humo.
Duu yani usomewe, upewe maelezo, mwisho utasema na forms uprintiwe na utumiwe, shida kweli.Wewe unayeingia kwenye link ungeelezea kila kitu.
Kwanini uwafanye watu waende shm wasiyokuwa na ulazima kwenda?
Kila kitu kiwekwe wazi, Acha majungu wewe, sipu inin?
Jamii forum waelewa sana mkuu hapa umepotea nenda Facebook au Insta unaeweza ukawapata na kuwakamata.KONGAMANO SWEDEN APRIL 9-11
Jinsi ya kuhudhuria Kongamano.
1.Unalipia gharama za chakula na malazi Melinini TDC Global - Tallink
2.Unatuma copy ya pass na copy ya malipo melini kwa email hii viza@tdcglobal.org kwa ajili ya mwaliko wa Viza.
Kongamano ni kuanzia trh 9-11 april.
Kwa wale watakaopenda kubaki kimatembezi au kufika mapema kabla ya shuguli link hii ya Hostel za bei nafuu.
https://generatorhostels.com/booking?be=0&hn=1701&ln=en-GB&arr=2019-01-17&rate=NRG_RO
Karibuni sana Sweden.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyoandika tu ni definition ya kuwa wewe sio muelewa, Jamii forum tumeingiliwa na vilaza wengi wa aina yako.Jamii forum waelewa sana mkuu hapa umepotea nenda Facebook au Insta unaeweza ukawapata na kuwakamata.