Wamamoyo1 Member Joined Apr 21, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Jun 6, 2014 #1 Hivi jamani watumishi, ukiambiwa umeingia kwenye orodha ya kwenda kusoma maana yake unajilipia(namaanisha kupitia mkopo/kujilipia mwenyewe) au halmashauri itakulipia? hasa kwa walimu.
Hivi jamani watumishi, ukiambiwa umeingia kwenye orodha ya kwenda kusoma maana yake unajilipia(namaanisha kupitia mkopo/kujilipia mwenyewe) au halmashauri itakulipia? hasa kwa walimu.