SWALI

Stevenbee

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
365
Reaction score
449
Hivi utoaja wa mikopo huwa unatolewa kila chuo mda wake au hutolewa kwa pamoja??
Tutumie reference ya utoaji mikopo mwaka jana
Mnieleweshe hili
 
Mikopo hutolewa kwa jumla.. Mwanafunzi mwenyewe huwa ndo wakwanza kujua kama amepata mkopo au la kwa kuingia katika account yake ya HESLB.. Then chuo huachia majina baada ya muda kidogo..
 
Mikopo hutolewa kwa jumla.. Mwanafunzi mwenyewe huwa ndo wakwanza kujua kama amepata mkopo au la kwa kuingia katika account yake ya HESLB.. Then chuo huachia majina baada ya muda kidogo..
uko sahihi
 
Everything is vice versa right now.
Yan n full mizinguo sasaiv.
Yan mpaka napatan somalia bora ningekua kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…