Tobaah duh mola aepushe hali za kinamna hiiMimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.
Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
Aah wapi, mnataka tuingie kingi baadaye mtuvizie na maji ya moto
Aiseeeee kwahiyo wanaume huwa hawaridhiki kabisaaMama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Aiseeeee kwahiyo wanaume huwa hawaridhiki kabisaa
Hatari sana 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akizoea huo mlango anaweza akataka kupitia kwny dari tenaUkiona mwanafunzi anaruka sana ukuta basi mtengenezee mlango asipate tabu.😉
Usisahau kuleta mrejesho Mrs Mtabibu[emoji40]Demiss asante kwa maujuzi nitajaribu
We dada una roho mbayaSku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
Teh..usijaliUsisahau kuleta mrejesho Mrs Mtabibu[emoji40]
mwanaume asiyechepuka haishiwi gumu na mwenzi wake, kuchepuka kunapunguza misuguano ya ndoa isiyo na tija. tupeni kibali cha kuchepukaNataka nikuulize ukipewa nn utaacha kuchepuka
Kuhusu pesa kuna wasiokua nazo ila hakosi kuchepukaMama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Wanawake mtakapoacha kujirahisisha na kuwa bidhaa rahisi kupatikana ndipo wanaume nao wataacha kuchepuka. Wanaume wanachepuka sababu ni rahisi sana kumpata mwanamke kuliko kupiga chafya. Wanawake mmekuwa bidhaa rahisi kama machungwa ya Muheza, badilikeni, jitunzeni, itunzeni miili yenu, vikojoleo vyenu viwe ni nadra sana kutumika hapo mtaona thamani ya ndoa na heshima ya wanaume.Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Sasa hivi nikiona kitambaa kipya akimaliza kufuta tu naidaka na kwenda kuloweka mwenyewe kwenye beseni na kuifua.Ushavujisha siri tutakua makini na vitambaa vimpya
Na ngumi juu hakutakii mema huyoSasa hivi nikiona kitambaa kipya ukinaluza tu naidaka kenda kuloweka mwenyewe kwenye beseni na kuifua mwenyewe.