Hivi kipindi Magufuli anafungua bunge, wabunge wa Jecha walikuwapo? Kama walikuwapo ina maana walilamba mshiko Wa kile kikao? Baada ya "maamuzi" ya Jecha ina maana tunaweza wadai chenji yetu kwasababu hawakuwa halali? Me am confused!!!!
Mkuu hapo ndio ujue Znz kuna shida wabunge wa jecha ni halali wawakilishi wa jecha si halali .
Hadithi ya uchaguzi Zenji ni sawa wanandoa waliozaa mapacha ila pacha mmoja halali mwingine haramu!