Ukimfumania shemeji yako utamweleza dada yako?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Hill Swali la kill mtu hapa

Juzi kati nipo zangu sinza nikaitiwa tenda nikajongea sinza maeneo ya kijiweni

Nilipomaliza natoka kumbe pale nilipoitiwa pembeni kulikuwa na guest house sikujua mara paaaaap namwona shem huyooo anatoka na kabinti kengine !

Roho ilinisimama lakini nikajikaza. .. kufika mbele tukakutana ana kwa ana shem kawa mpole kama paka kamwagiwa maji

Nikawasalimia fureeeshiii tu na huyooo kimada wake nikaondoka lkn sikuondokaaa walipoondoka nikarudi kukagua eneo la tukio kama afandee

Kuulizia ulizia na kumpa dada
Wa reception elfu 50 akaniambia anakujaga kila alhamisi lunch time saa 7 mpaka 8 anaondoka kwa mwezi mara 2 au 3 wanawake tofauti

Doh... bad sijakata tamaaa

Je ingekuwa ni wewe ungemweleza DADAKO kuwa mumeo anakitembeza guest house flan sinza? !

Siongelei madada Wa kubipu sijui kufikia naongelea Blood Sisterr

hiyo pesa ulipoteza ya bure, naona mwezetu vyuma havijakaza.
 
Ni shida sana kuingilia mambo ya ndani.
Wanaume wa dar wambeya sana .
Sa sijui ukimwambia utafaid nn.....waspogombana utajiskiaje.
Na ukiona jamaa kaanza usaliti......ujue dadako nae ni malaya ndo maana hajashtuka
 
Mleta maada ni KE jamani. Mbona mnawaonea wanaume wa Dar
 
Mwanaume kuwa na mpango wa kando ni kawaida sana. Afu we jamaa unatoaje 50k kiboya hivyo bora ungepiga bia au uhonge kama haukuwa na hitaji nayo.
 
Hill Swali la kill mtu hapa

Juzi kati nipo zangu sinza nikaitiwa tenda nikajongea sinza maeneo ya kijiweni

Nilipomaliza natoka kumbe pale nilipoitiwa pembeni kulikuwa na guest house sikujua mara paaaaap namwona shem huyooo anatoka na kabinti kengine !

Roho ilinisimama lakini nikajikaza. .. kufika mbele tukakutana ana kwa ana shem kawa mpole kama paka kamwagiwa maji

Nikawasalimia fureeeshiii tu na huyooo kimada wake nikaondoka lkn sikuondokaaa walipoondoka nikarudi kukagua eneo la tukio kama afandee

Kuulizia ulizia na kumpa dada
Wa reception elfu 50 akaniambia anakujaga kila alhamisi lunch time saa 7 mpaka 8 anaondoka kwa mwezi mara 2 au 3 wanawake tofauti

Doh... bad sijakata tamaaa

Je ingekuwa ni wewe ungemweleza DADAKO kuwa mumeo anakitembeza guest house flan sinza? !

Siongelei madada Wa kubipu sijui kufikia naongelea Blood Sisterr

Siwezi mwambia dada hata siku moja... UMBEYA ukinibana sana nitamvaa shemeji mwenyewe nimtishe kuwa ntamwambia dada.... Likishindikana hili.... KWA ANAYEJUA KIZUIZI CHA NDOA HII NA ASEME SASA, AU LA AKAE KIMYA MILELE... ntakaa kimya milele
 
Mleta maada ni KE jamani. Mbona mnawaonea wanaume wa Dar
hahaahah hawataki kukubali waaachee

Mwanaume kuwa na mpango wa kando ni kawaida sana. Afu we jamaa unatoaje 50k kiboya hivyo bora ungepiga bia au uhonge kama haukuwa na hitaji nayo.
njoo uchukue kama unazitaka... sina shida na pesa bado natumia za babu mzaa babu yangu

alafu mimi ni mwanamke tuheshimiane

Sidhani kama ni busara kuingilia mahusiano ya watu!
ya dada yangu wa kuzaliwa

Siwezi mwambia dada hata siku moja... UMBEYA ukinibana sana nitamvaa shemeji mwenyewe nimtishe kuwa ntamwambia dada.... Likishindikana hili.... KWA ANAYEJUA KIZUIZI CHA NDOA HII NA ASEME SASA, AU LA AKAE KIMYA MILELE... ntakaa kimya milele
kiru kwahiyo uko radhi kumwangalia dadako anavyoonewa na shem wako sio?

mje na huku
Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....
 
Unapotezea tuu sababu ukimwambia sista watagombana na siku wakipatana wanakugeukia wewe sasa
 
Back
Top Bottom