WanaJF
Kila mara tumeshuhudia wengi wanaotoka CHADEMA, ama kwa kufukuzwa au kwa kuacha wenyewe, huendelea kuisema CHADEMA kila kukicha kwa kuichafua... mifano michache ni Lukosi, Mwapamba na Shonza. Swali ni ni kwanini hao na wengine wa aina hiyo huendelea na CHADEMA moyoni, ingawa kwa nje wamejivika kijani? Kwanini hawajizatiti na mipango ya kuijenga chama chao kipya, hata kama ni chama cha nyanya chungu, badala yake huendelea kuizungumzia CHADEMA kila kukicha? Ni swali tu...