Mimley Mahela
Member
- Mar 16, 2016
- 16
- 3
Duhh yani me hapa nlipo nmejichpokea nmekaa saan home mpka WATU wanaanxa kuja kuniposa wamesahau kabisa KAma me ni studentyHata sijui ni kwa nn wanachelewesha hivi mpka mtu unasahau bwana kama ulikua unasoma
Usinifurahishe lakini mbona ni kawaida hata mwaka jana ilikua hivyoDuhh yani me hapa nlipo nmejichpokea nmekaa saan home mpka WATU wanaanxa kuja kuniposa wamesahau kabisa KAma me ni studenty
Mwezi Wa sita mwishoni kuweni wavumilivuHabari zenu jaman
Kama title inavyo sema naomben kuuliza hivi post za form four bado tu na hivi zinaweza zkatoka lini
Ni hayo tu wakubwa
Mkuu yaitaji uvumilivu kweli kweliMwezi Wa sita mwishoni kuweni wavumilivu
watoto chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kufanya kazi iwe ya tempo au perma hivyo tunahitaji posttafuteni kazi za tempo vijana acheni uvivu